Usalama waimarishwa baada ya shambulizi la punde katika kaunti ya Lamu

  • | Citizen TV
    559 views

    Usalama umeimarishwa kaunti ya Lamu, baada ya shambulizi la punde kuwaua watu watano katika kijiji cha Salama-Kibaoni wadi ya Mkunumbi. Aidha, kamati kuu ya kiusalama pamoja na mashirika ya kijamii kaunti hiyo imefanya kikao cha kutathmini changamoto za usalama zinazokumba maeneo ya Lamu, ambayo yameshuhudiwa mashambulizi yasiyopungua matano katoka muda wa majuma matatu.