Usalama waimarishwa bungeni Kericho

  • | Citizen TV
    935 views

    Usalama umeimarishwa nje ya jengo hilo la bunge huku wawakilishi wadi wakijadili hoja ya kumtimua gavana Erick Mutai. hapo jana mahakama ya Kericho ilisimamisha kwa muda kujadiliwa kwa hoja ya kumtimua Mutai