- 243 viewsDuration: 3:16Wizara ya afya inazindua rasmi usambazaji wa dawa ya kuzuia maambukizi ya ukimwi LENACAPAVIR. Dawa hiyo inalenga kupunguza maambukizi mapya ya hiv nchini na itatolewa kama chanjo mara mbili kwa mwaka kwa wakenya walioko kwenye hatari ya maambukizi.