Ushahidi mpya kwenye kesi ya Anglo Leasing wafichuka.

  • | KBC Video
    Ushahidi mpya kwenye kesi ya Anglo Leasing umefichua stakabadhi zilizoandikwa na watu tofauti lakini zikatiwa sahihi na mtu aliyefahamika kama Brian Mills , ushahidi ambao unaweza kutegua kitendawili kuhusu kashfa hiyo. Mbele ya hakimu Felix Kombo, upande wa mashtaka ulieleza jinsi pesa zilivyolipwa kwa kampuni bandia zenye uhusiano na kampuni ya Sound Day inayohusishwa na Chamandlal Kamani, Deepak Kamani na kakake Rashmi Kamani. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive