Skip to main content
Skip to main content

Ushahidi mpya wazuka katika kesi ya mauaji ya Tob Cohen

  • | Citizen TV
    24,429 views
    Duration: 3:04
    Baada ya miaka sita ya kesi ya mauaji ya mfanyabiashara Tob Cohen, ushahidi mpya umejitokeza wakati wa kesi hiyo katika mahakama ya Kibra hapa Nairobi. Mjane wa marehemu Sarah Wairimu Kamotho sasa anakabiliwa na mashtaka mapya ya mauaji, huku waendesha mashtaka wakitoa maelezo ya matukio yaliyosababisha kifo cha Cohen mwaka wa 2019.