Ushahidi wa uwezekano wa uhalifu wa kivita Sudan wazuka

  • | BBC Swahili
    412 views
    "Wafanyakazi katika hospitali nyingi wameshikiliwa mateka, kama njia ya kuwapatia matibabu wanajeshi wa RSF waliojeruhiwa." Ni hospitali chache kati ya 88 za Khartoum ambazo bado zipo wazi baada ya wiki tano tu za mapigano. Kwa kutumia takwimu za satelaiti, ramani na maudhui yaliyotokana na mazungumzo ya madaktari kadhaa, uchunguzi wa BBCNewsArabic na BBCAfricaEye unagundua ushahidi wa kutatanisha wa uwezekano wa uhalifu wa kivita unaotekelezwa kwenye vituo vya afya na wafanyakazi na pande zote mbili zinazopigana. #bbcswahili #sudan #bbcafricaeye