Ushauri wa Maraga wapingwa vikali

  • | TV 47
    Viongozi wa eneo la Magharibi ya Kenya wameendelea kukashifu ushauri wa Jaji Mkuu David Maraga kumtaka Rais Kenyatta alivunjilie mbali bunge la kitaifa kwa kushindwa kutimiza thuluthi moja ya uongozi wa bunge. #TV47OnDSTV