Ushauri wa Mkurugenzi wa Ufundi wa NBA kwa Wachezaji

  • | VOA Swahili
    319 views
    Mkurugenzi wa Ufundi wa NBA Academy, Joe Touomou, anaeleza kuwa ni muhimu kwa wachezaji ambao hawachezi sana kugusa mpira hasa katika bara la Afrika. Iwe unacheza kwenye nafasi ya mbele au kwenye ulinzi, kila mchezaji lazima ajue jinsi ya kumiliki mpira katika mchezo wa kisasa. Ian Mahinmi, NBA Legend and BAL Ambassador, explains that the clinic has the platform to teach these young players the foundation to championship defense and offense. Coaches' clinic participants explain improving your mental game in the sport will improve your physical game. Ian Mahinmi, mkongwe wa NBA na Balozi wa BAL, anaeleza kuwa kliniki hiyo ina jukwaa la kuwafundisha wachezaji hawa chipukizi msingi wa kujilinda na kushambulia. Washiriki wa kliniki ya makocha wanaeleza kuboresha mchezo wako wa kiakili katika mechi kutaboresha mchezo wako katika kupambana uwanjani. #bal #FUS #Petro #morocco #angola #voa