Ushirikiano kati ya taifa la Kenya na Ufaranza

  • | West TV
    27 views
    Serikali ya Ufaransa imetoa shilingi bilionii 30 kwa serikali ya Kenya kutekeleza miradi mbalimbali ikiwemo miundo msingi ya uchukuzi na michezo kama njia moja ya kuimarisha uhusiano kati ya mataifa hayo mawili