Skip to main content
Skip to main content

Ushirikiano wa Kenya na Brazil

  • | Citizen TV
    76 views
    Duration: 2:08
    ubalozi wa Brazil nchini Kenya umehimiza ushirikiano baina ya Kenya na taifa lao katika kuhakikisha watoto wanaotoka familia zisizojiweza wanapata masomo na kupiga hatua maishani Akizungumza katika hafla ya kuadhimisha miaka 15 tangu kuanzishwa kwa shirika la safisha Africa linalotoa ufadhili wa masomo ya bure kwa wanafunzi kati ya umri wa miaka mitatu hadi 18 wanaotoka familia maskini, afisa anayesimamia ubalozi wa Brazil Kenya, fundacao visconde de cabo frio amesema kenya imepiga hatua kwenye masuala ya masomo na kwamba brazil inaunga mkono juhudi hizo. Wakati wa hafla hiyo chumba cha watoto wa chekechea kilichofadhiliwa na wafadhili kutoka brazil kilifunguliwa rasmi