Usikose kufuatilia uzinduzi wa makumbusho ya kidigitali ya mwanadiplomasia Dr Salim Ahmed Salim

  • | VOA Swahili
    572 views
    Usikose kufuatilia uzinduzi wa Makumbusho ya Kidigitali ya aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Nchi huru Barani Afrika, OAU na Waziri Mkuu wa Tanzania Dr Salim Ahmed Salim, yanayo fanyika Jumamosi mjini Dar es salaam, Tanzania. #tanzania #kumbukumbu #kidigitali #katibumkuu #umojawanchihuru #afrika #salimahmedsalim #wazirimkuu #voa #voaswahili - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.