Usimamizi wa jiji la Kisumu lapiga marufuku matumizi ya pikipiki katika mtaa wa Milimani

  • | Citizen TV
    538 views

    Usimamizi wa jiji hilo umepiga marufuku matumizi ya pikipiki katika mtaa wa Milimani, kama mojawapo ya mikakati ya kupambana na kudorora kwa usalama jijini humo. Kulingana na ilani iliyochapishwa na meneja wa jiji la Kisumu Abala Wanga, marufuku hiyo itaendelea kwa miaka miwili ijayo na itaathiri mitaa mengine kama vile Riat, ili kuimarisha hali ya usalama.