Usimamizi wa JKIA I Bunge lataka mkataba huo usimamishwe

  • | KBC Video
    202 views

    Katibu katika wizara ya fedha Chris Kiptoo leo alasiri alikuwa na wakati mgumu mbele ya wabunge, alipotakiwa kutoa maelezo kuhusu mkataba wa mabilioni ya pesa wa kuboresha uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta uliopendekezwa, ambao utashuhudia uwekezaji wa kampuni ya Adani Holdings limited ikiudhibiti kwa kipindi cha miaka 30 ijayo. Jibu la katibu huyo kwamba maelezo kuhusu mkataba huo yatawekwa wazi kwa umma baada ya kuhitimishwa na wizara ya fedha, uliwakera wanachama wa kamati ya bunge kuhusu deni la umma na ubinafsishaji waliotaka mkataba huo kusitishwa hadi maelezo sahihi yatakapowekwa paruwanja. Abdiaziz Hashim na taarifa kamili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive