Ustadi wa Austin Odhiambo umedhihirika CHAN 2024

  • | Citizen TV
    4,322 views

    Mchuano wa CHAN unaoendelea umeweka Kenya katika orodha ya mataifa yaliyo na vijana wenye vipaji barani Afrika. Mchezaji wa Harambee Stars Austin Odhiambo ni mmoja wa wale waliong'aa kwenye kivumbi hicho, akifunga mabao mawili na kuweka hai matumaini ya Kenya. Austin mwenye umri wa miaka 23 amejitahidi kuhakikisha bendera ya kenya inapaa juu zaidi.