Utafiti Wa Matibabu: Taasisi ya KEMRI hutegemea ufadhili wa kigeni

  • | KBC Video
    66 views

    Taasisi ya utafiti wa matibabu, KEMRI, inalitaka bunge la kitaifa kutenga fedha zaidi kuiwezesha kudumisha uhuru wake na kufanikisha uchunguzi wa magonjwa. Kwa sasa, asilimia 70 ya ufadhili katika taasisi hiyo hutokana na misaada ya kigeni, hali inayoathiri udhibiti wake wa uchunguzi unaofanywa humo. Kamati ya bunge kuhusu afya ilizuru taasisi hiyo ambapo ilibainisha uhaba wa wafanyakazi kuwa changamoto kuu inayokumba taasisi hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News