Utafiti wa shirika la taifa la kutetea haki za binadamu

  • | K24 Video
    10 views

    Asilimia 68 ya wakenya wanaunga mkono kufutiliwa mbali kwa hukumu ya kifo kwa wale wanaopatikana na hatia ya wizi wa mabavu, majaribio ya wizi wa mabavu, mauaji na uhaini. Hiyo ni kulingana na utafiti uliofanywa na shirika la taifa la kutetea haki za binadamu. Sasa KNHCR inataka sheria iliyoko ifanyiwe marekebisho.