‘Utalii wa kidigitali umeleta watu wengi maarufu Zanzibar’ - Mafunda Faki

  • | BBC Swahili
    828 views
    Vijana kupitia taasisi ya @zanvacay wameungana kuhakikisha wanapaza sauti kuwashajihisha vijana wenzao kujishughulisha na utalii unaotumia mitandao ya kijamii kama njia mojawapo ya kujitangaza. @mafunda_faki pamoja na vijana wenzie wanaandaa mkutano mkubwa wa kimataifa kuhusu utalii wa kidigitali utakao fanyika Zanzibar kuanzia tarehe 6 mpaka tarehe 10 October Je unafahamu kama mchezo wa Makachu ni moja ya zao la mitandao lililoleta watu wengi maarufu visiwani Zanzibar? 🎥: Frank Mavura #bbcswahili #zanzibar #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw