Utamaduni wa jamii ya Maa

  • | Citizen TV
    417 views

    Wakenya Wamehimizwa Kukumbatia Tamaduni Zao Zenye Manufaa Ili Kukuza Umoja,Utangamano Wa Kitaifa Na Maendeleo Ya Kiuchumi. Jamii Ya Wamaasai Imetambuliwa Kwa Kuenzi Na Kulinda Mila Zao Tangu Jadi. Nancy Kering Ametuandalia Taarifa Ya Jinsi Mila Inaenziwa Kwa Njia Tofauti Kaunti Ya Kajiado.