Utamaduni wa Wanawake kutopanda Migomba ya ndizi Kero kwa kilimo hicho

  • | West TV
    76 views
    Baadhi ya jamii ya Magharibi imekua na utamaduni wa kuwazuia Wanawake kupanda migomba ya ndizi kwa kudai kuwa Mwanamke anapofanya hivyo, huleta laana ya kifo kwa familia yake. Je, ni utamaduni wa ukweli au ni wa kunyanyasa tu?