Utata kuhusu ufadhili wa bajeti

  • | K24 Video
    3 views

    Kuondolewa kwa mapendekezo kadhaa kwa mswada wa fedha wa mwaka wa elfu mbili ishirini na nne ilikua afueni kwa wakenya ila kufanikisha bajeti serikali imelazimika kuongeza ushuru kwa sekta zingine. Ushuru kwa bidhaa za kutoka nje na ujenzi na urekebishwaji wa barabara unanuia kuongeza zogo la ushuru kwa mkenya wa kawaida