Utata umeibuka baina ya wakazi zaidi ya 200 na aliyekuwa spika wa kaunti ya Lamu

  • | Citizen TV
    567 views

    Utata umeibuka baina ya wakazi zaidi ya 200 na aliyekuwa spika wa kaunti ya Lamu Mohammed Fumo kuhusu umuliki wa kipande cha ardhi cha ekari 3.16 HUKO Utange Mombasa. Kulingana na wakazi hao, wameishi katika ardhi hiyo kwa zaidi ya miaka 40 na kuwa utata huo bado uko mahakamani