Utata wa ardhi ya ekari 120 wazuka tena Kamanai Kilifi

  • | Citizen TV
    381 views

    Utata wa ardhi katika kipande cha ekari 120 huko Kanamai kaunti ya Kilifi umezuka upya. Wakazi wanaoishi katika shamba hilo wanadai kuwa baadhi ya mabwanyenye wanashirikiana na vitengo vya usalama kuwahangaisha licha ya suala hilo kuwa mahakamani.