Utata wa uongozi watokota SUPKEM

  • | Citizen TV
    407 views

    Utata wa uongozi katika baraza kuu la waisilamu nchini SUPKEM umeendelea huku mirengo miwili inayozozania ikiendelea kuvutana. Mzozo huu wa uwenyekiti ukiendelea kati ya mrengo wa Yusuf Nzibo na Hassan Ole Nado.