UTEKAJI NYARA WA BOKO HARAM WAACHA WATOTO WENGI YATIMA

  • | VOA Swahili
    Watetezi wa haki za watoto nchini Nigeria wanasema kuwa maelfu ya watoto kaskazini mwa taifa hilo wameachwa yatima kutokana na mashambulizi ya wanamgambo wa kundi la kigaidi la Boko Haram,