UTEKAJI WASICHANA NIGERIA NI JANGA LA KIMATAIFA

  • | VOA Swahili
    Miaka mitatu iliyopita, Boko Haram iliwateka nyara wasichana 110 kutoka kwenye shule moja Dapchi, Nigeria. Msichana mmoja, Leah Sharibu, bado ni mateka. Wazazi wake wana matumaini kuwa ataachiliwa lakini wanasema serikali haifanyi chochote kuhakikisha anaachiliwa huru. Percy Dabang anaripoti kutoka Yola, Nigeria na Sunday Shomari anaisoma taarifa kamili. #VOA #DL