Utendakazi wa maafisa wa akiba kuangaziwa upya

  • | Citizen TV
    1,063 views

    Waziri wa Usalama Profesa Kithure Kindiki ametangaza hatua ya serikali kuangazia upya oparesheni na utendakazi wa maafisa wa polisi wa akiba kote nchini. Kindiki amedokeza kuwa maafisa wa npr watakuwa na viongozi wao watakaofanya kazi chini na maafisa wa polisi.npr watafanya kazi pamoja na maafisa wa polisi na watakuwa na ofisi zao katika majengo ya afisi za machifu na vituo vya polisi.