Utendakazi wa serikali | 84% ya wakenya wasema hali ya uchumi ni mbaya

  • | Citizen TV
    686 views

    Asilimia 84 ya wakenya wanasema hali ya maisha imekuwa ngumu zaidi ikilinganishwa na mwaka mmoja uliopita. Kulingana na utafiti uliofanywa na shirika la TIFA, hali hii imewasukuma wakenya wengi kubadili maisha yao. Utafiti huu pia uliangazia utendakazi wa mawaziri ambapo waziri wa usalama kithure kindiki aliibuka bora huku waziri wa kawi davis chirchir akishika mkia