Uteuzi wa makamishna wa IEBC | Wanachama wa jopo la uteuzi waapishwa

  • | KBC Video
    21 views

    Jaji mkuu Martha Koome anataka jopo la uteuzi la tume ya IEBC kuteua kundi la kuaminika la makamishna. Akiongea baada ya kuapisha jopo hilo la wanchama saba , Koome alisema jopo hilo lina jukumu la kufanikisha kubuniwa kwa tume ya uchaguzi yenye haki na usawa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #IEBC #News