Uteuzi wa Martha Karua kuwa mgombea mwenza wa Raila umepokelewa vyema

  • | K24 Video
    116 views

    Uteuzi wa Martha Karua kama mgombea mwenza wa Raila chini ya muungano wa Azimio la Umoja umepokelewa vyema humu nchini na hata nje ya nchi, na huku uteuzi wake ukibadili anga ya kisiasa nchini je, wamfahamu Karua na safari yake ya kisiasa?