Uteuzi wa mawaziri 11 wazua tumbo moto

  • | KBC Video
    27 views

    Uteuzi wa mawaziri 11 katika baraza la mawaziri na Rais William Ruto umezua hisia mseto huku kukiwa na wito kwa wabunge kuwa waangalifu wakati wa shughuli ya kuwasaili. Wakati huo huo baadhi ya viongozi wa kidini na wanafunzi wa vyuo vikuu wameunga mkono uteuzi huo wakihimiza kuwepo kwa subira ili kumruhusu rais kushughulikia malalamishi yaliyotolewa na vijana.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive