Uteuzi wa viongozi na ukoo Narok

  • | Citizen TV
    84 views

    Kampeni za mapema zinapoonekana kushika kasi nchini kabla ya uchaguzi mkuu wa 2027 ukoo mdogo wa Oronkiteng’ kutoka ukoo mkubwa zaidi wa Purko katika Jamii ya Wamaasai umemchagua James Ole Kiok kuuwakilisha katika kinyang’anyiro cha ubunge wa eneo bunge la Narok Kaskazini