Utoaji wa huduma muhimu za afya hospitalini

  • | K24 Video
    61 views

    Utoaji wa huduma muhimu za afya hasa katika hospitali za kiwango cha juu ni kipengele muhimu katika kutimiza ndoto ya afya kwa wote, na vile vile kuanzisha utalii wa matibabu nchini. Hata hivyo wataalam wanahofia kuwa changamoto zilizoko zitazuia ndoto hiyo kutimia, ikikadiriwa baadhi ya hospitali hazina uwezo wa kutoa baadhi ya huduma.