Utovu wa usalama umekuwa ukitishia utalii Garissa

  • | Citizen TV
    253 views

    Baada ya miaka mingi ya utovu wa usalama kutokana na tishio la magaidi wa Al Shabaab, kaunti ya Garissa imeonekana kuchukua mwelekeo tofauti na kuwa kuvutio kikubwa cha utalii katika ukanda wa Kaskazini Mashariki