Utumizi wa nta kwa ajili ya kunyoa malaika, na nywele kwenye makwapa wazidi kua maarufu

  • | K24 Video
    36 views

    Wakati mwingi watu wazima hutumia nyembe au krimu kunyoa malaika, na nywele kwenye makwapa na sehemu zao za siri ili kuwa nadhifu, hatahivyo utumizi wa nta maarufu waxing kwa ajili ya shughuli hiyo unakuwa maarufu. Mwanahabari wetu Mariam Mjahid ametangamana na mtaalamu wa masuala haya ya kunyoa na nta na kutupa utaratibu namna waxing inafanyiwa katika sehemu mbalimbali za mwili.