Utumizi wa sheria ya Ugaidi kuwashtaki waandamanaji unaendelea kukosolewa na makundi tofauti

  • | Citizen TV
    3,358 views

    Utumizi wa sheria ya Ugaidi kuwashtaki waandamanaji unaendelea kukosolewa na makundi tofauti, ikiwemo chama cha mawakili nchini LSK. Aidha, idara ya mahakama inashutumiwa kwa kuweka faini ya juu ili kuwaachilia kwa dhamana washukiwa wa kosa la Ugaidi waliokamatwa katika maandamano ya Saba Saba na ile ya Juni 25 mwaka huu.