Utumizi wa teknolojia ya akili bandia A.I maarufu Artificial Intelligence kutoa mafunzo Malindi

  • | K24 Video
    37 views

    Shule moja mjini Malindi katika kaunti ya Kilifi imeanza kutumia teknolojia ya akili bandia A.I maarufu artificial intelligence kutoa mafunzo. kupitia mtandao wa elimu unaofahamika kama century tech, shule ya learning hub katika mtaa wa kijiwetanga imeanza kuboresha matokeo ya wanafunzi katika kaunti iliyokumbwa na changamoto mbali mbali katika sekta hiyo