Utunzi wa Chemichemi I Wataaamu watoa wito wa sheria za kulinda vianzio vya maji ya Ziwa Viktoria

  • | KBC Video
    4 views

    Wataaamu wanatoa wito wa utekelezaji kikamilifu wa sheria za kulinda maeneo chepechepe ambayo ni vianzio vya maji ya Ziwa Viktoria. Akiongea pembezoni mwa mkutano wa pamoja wa kamati tekelezi za mradi wa Ziwa Viktoria, katibu mkuu wa tume ya ustawi wa eneo la Ziwa Victoria Dr Masinde Bwire alisema ziwa hilo limezongwa na athari za uharibifu wa mazingira licha ya juhudi za tume hiyo na wadau wengine za kukabiliana na hali hiyo inayoathiri zaidi ya watu milioni 44. Achola Simon anatuarifu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #lakevictoria #News