Uturuki na Italia zalenga kuongeza ushawishi barani Afrika

  • | VOA Swahili
    77 views
    Uturuki na Italia zinalenga kuongeza ushawishi wao barani Afrika, katika sekta za uchumi na diplomasia. Hata hivyo Wachambuzi wanasema mataifa yote mawili yanaona fursa kama vile ushawishi wa Ufaransa katika bara hilo unavyopungua, na hivyo kuleta muafaka wa ushirikiano kati ya Roma na Ankara. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.