Uvamizi wa kunguni wazua hofu kwa raia wa Ufaransa huku vikileta vichekesho nchini Marekani

  • | VOA Swahili
    1,130 views
    Ungana na mwandishi wetu akikuletea taarifa kuhusu uvamizi wa kunguni huko Ufaransa na jinsi vidudu hivyo vimeleta hofu kwa raia wa nchi hiyo na taharuki. Lakini pia wakati huo huo vimeibua gumzo katika vipindi mbalimbali vya televisheni vyenye vichekesho nchini Marekani vikijadili mlipuko huo wa kunguni. Endelea kusikiliza ripoti kamili... #uvamizi #kunguni #ufaransa #vidudu #taharuki #gumzo #televisheni #vichekesho #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.