Uvamizi wa nzige: Kiangazi Afrika mashariki chabisha

  • | K24 Video
    Zaidi ya watu milioni 19  afrika masharaki wanaishi katika hali ya ukosefu wa chakula na huenda idadi hiyo ikaongezeka, baada ya mabilioni ya nzige kuvamia mataifa kadhaa ya ukanda huu. Kulingana na shirika la chakula na kilimo la umoja wa mataifa (FAO) hali huenda ikawa mbaya zaidi huku nzige hao wakionekana kulekea nchini Uganda na Sudan kusini.