Uvamizi wa wanyamapori Kaunti ya Kajiado

  • | Citizen TV
    43 views

    Wito umetolewa kwa serikali ya kaunti ya Kajiado kuhakukisha kuwa imetenga njia mbadala ya kuwawezesha wanyamapori kupita bila ya kuingilia makazi ili kupunguza uvamizi wa wanyamapori katika kaunti hiyo