Skip to main content
Skip to main content

Uwanja na kidimbwi cha kuogelea zafunguliwa St.Philip Neri

  • | Citizen TV
    471 views
    Duration: 1:57
    Kama njia moja ya kukuza michezo katika eneo linalokua la joska kaunti ya Machakos, shule ya St.philips Neri imefungua rasmi uwanja wa kisasa na kidimbwi cha kuogelea cha kiwango cha kimataifa.