Uwanja wa JKIA wakabiliwa na athari zaidi za mvua

  • | Citizen TV
    7,338 views

    Safari kadhaa za ndege kutoka humu nchini ziliahirishwa na kuelekezwa kwengineko kutokana na athari za mvua inayoendelea kunyesha. Hii ni baada ya mamlaka ya kitaifa ya viwanja vya ndege kutoa ratba ya mabadiliko katika sehemu na njia za kuingia au kuondoka kutoka uwanja wa JKIA. Hii inafuatia mafuriko katika sehemu za uwanja huu wa kimataifa.