Uwindaji haramu wa vifaru umepungua pakubwa katika hifadhi ya wanyama pori ya Sera, Samburu

  • | KBC Video
    16 views

    Uwindaji haramu wa vifaru umepungua kwa kiasi kikubwa kwenye hifadhi ya wanyama pori ya Sera iliyoko katika Kaunti ya Samburu baada ya kundi la wanawake kuanzisha mradi wa kuhifadhi aina hiyo ya vifaru adimu kwenye eneo hilo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News