Uzalishaji wa vyakula nchini Kenya wapungua kwa kiwango kikubwa

  • | K24 Video
    52 views

    Uzalishaji wa vyakula nchini Kenya umepungua kwa kiwango kikubwa kutokana na hali duni ya udongo na upungufu wa rutuba. Kulingana na dkt David Kamau wa Karlo,wakulima wanavuna magunia 10 ya mahindi kwa ekari moja ilhali mavuno yanayofaa kulingana na utafiti ni takriban magunia 45 na hivyo kuchangia upungufu wa chakula nchini. Wito wa dharura sasa ni kwa wakulima kuzingatia mbinu bora za kilimo.