Uzinduzi wa mradi wa maji Sogorosa

  • | Citizen TV
    135 views

    Uzinduzi wa mradi wa maji Katika kijiji cha Sogorosa eneo la Magarini kaunti ya Kilifi unatarajiwa kupunguza uhaba wa maji ambao umekua donda sugu Katika eneo hilo. Mradi huo utawafaidi wakaazi zaidi ya elfu 7 huku lengo kuu likiwa kupunguza mwendo wa kutafuta bidhaa hiyo muhimu kutoka kwa kilomita 3.5 hadi kilomita 2.