Uzinduzi wa ofisi ya kuandaa kongamano la mabadiliko ya tabianchi la bara la Afrika Nairobi

  • | K24 Video
    80 views

    Wizara ya mazingira pamoja na ubalozi wa Denmark imezindua ofisi ya kuandaa kongamano la mabadiliko ya tabianchi la bara la Afrika hapa jijini Nairobi. Kongamano hilo linalotarajiwa kuhudhuriwa na zaidi ya watu elfu kumi kutoka sehemu mbali mbali ulimwenguni, litafanyika katika jumba la mikutano ya kimataifa, KICC hapo mwezi wa tisa mwaka huu.