Uzinduzi wa Sodo maalum za Huntha

  • | KBC Video
    9 views

    Upatikanaji wa sodo maalum za Huntha humu nchini umekuwa tatizo kwa muda. Hii ni kutokana na ukosefu wa sodo zilizotengenezewa Huntha katika soko la humu nchini.Ni mwamko mpya kwa jamii ya Huntha kwani sodo maalum kwa jina Inclusifit zimezinduliwa wakati wa halfa iliyowaleta pamoja wadau mbali mbali ili kulinda heshima na haki za Huntha.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive