Uzinduzi wa 'Tujengane' kutoka KBL.

  • | West TV
    14 views
    Kampuni ya kutengeneza pombe nchini KBL imezindua kampeni mpya ya kitaifa ijulikanayo kama tujengane inayonuia kuwainua wateja wake na washirika mbalimbali wakati huu mgumu wa kiuchumi nchini.