Vannessa Ogema awachiliwa kwa dhamana na mahakama ya Port Victoria

  • | West TV
    79 views
    Mahakama ya Port Victoria eneo bunge la Budalang’i kaunti ya Busia imempa dhamana ya shilingi laki mbili mshukiwa wa uvamizi wa wahudumu wa afya katika hospitali ya Port Victoria Vanessa ogema akiwa na mwenzake ambaye ni afisa wa polisi baada ya kukana mashtaka yanayomkabili